New Music: Hemedy Music -Kaning’ang’ania

0

Hemedy Music baada ya kutambulisha video yake mpya. Huu hapa ni wimbo wake huo mpya unaitwa “Kaning’ang’ania”. Wimbo umetayarishwa na producer Stoppa kutokea MK Records.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.