New Music: Hemedy Music – Dhamira Yangu

0

Ahadi ni Deni! Msanii Hemedy ametimiza ahadi yake baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Dhamira Yangu’. Wimbo umetengenezwa katika studio za MK Records na Producer Stopa.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.