New Music: Haule – Sugar

0

Msanii wa muziki Haule ameachia wimbo wake mpya “Sugar”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Minane Records chini ya producer Bonge Jr.