New Music: H Mbizzo – Mambo ni Moto

0

Baada ya kimya kirefu msanii wa muziki wa kizazi kipya, H Mbizzo ameachia wimbo mpya unaitwa “Mambo ni Moto”. Wimbo umetayarishwa na producer Fire Kid.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.