New Music: Fredrigo – Kipenda Roho

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar, Fredrigo ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Kipenda Roho”. Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records na producer Bonge Jr.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.