New Music: Ferouz – Nimejifunza

0
ferouz

Baada ya ukimya wa muda mrefu, Ferouz amerejea tena na wimbo mpya ‘Nimejifunza.’  Ferouz amesema wimbo huu unazungumzia alichojifunza wakati alipopata matatizo na kuwabaini marafiki wanafiki na wa kweli.

http://www.audiomack.com/song/zenji255/nimejifunza