New Music: Fatma ft. Chidy Benz – Shobo

0

Wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Fatma amewaletea wimbo mpya unaitwa “Shobo” akiwa amemshirikisha Chidy Benz. WImbo umetayarishwa na producer Dabro.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.