New Music: Fatma – Dume la Nyani

0

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Fatma, unaitwa ‘Dume La Nyani’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Mo Fire Records na producer Mo Fire.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.