New Music: Fany – Nimerogwa

0

Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Fany unaitwa ‘Nimerogwa’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Jupiter Records na producer Bonge Jr.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.