New Music: Faay Baby – Nawachana

0

Mwanadada wa muziki wa kizazi kipya, Faay Baby ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Nawachana’. Wimbo umetayarishwa na producer Chilly K, Fleva Noma na John Blaze.

Sikiliza hapo chini na utoe maoni yako.