New Music: Faay Baby ft. Sultan King – Simanzi

0

Mwanadada Faay Baby baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa mwanzo ‘Umejivuruga’ sasa ameachia wimbo mpya unaitwa ‘Simanzi’ akiwa amemshirikisha Sultan King. Wimbo umetengenezwa katika studio za MK Records na Producer MK.