New Music: Diamond Platnumz – Eneka

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond anaendelea mfululizo wake wa kuachia wimbo baada ya wimbo. Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Eneka’ wimbo umetayarishwa na Producer Lizer kutoka studio WCB.

Sikiliza na toa maoni yako