New Music: Crazy Moon ft. Mass – Sio Kesi

0

Crazy moon ni Rapper anaesimamiwa na Carrebean Music wimbo wake wa kwanza unatambulika kwa jina la WASHA na huu ndo ujio wake mpya ikiwa ni wimbo wa pili tangu aanze muziki. Wimbo unaitwa “Sio Kesi” umetengezwa studio za Carrebean Music Zanzibar chini ya producer Mass.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako