New Music: The Cousin – Aselule

0

Wasanii wanaounda kundi la The Cousin wameachia wimbo wao mpya ‘Aselule’. Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym katika studio za Island Records. Sikiliza hapa na utoe maoni yako.