New Music: Chidy Yobo – Ola

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chidy Yobo ameachia wimbo wake mpya “Ola”. Wimbo umetayarishwa na producer Flavor Noma katika studio za Smart Music.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.