New Music: Boy Wiz – Usibadilike

0

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Boy Wiz ameachia wimbo unaitwa “Usibadilike”. Wimbo umetayarishwa na producer More Name Best katika studio za NF.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.