New Music: Boy Wiz – Move It

0

Msanii aliyechukua tuzo ya chipukizi bora mwaka 2017/18 katika tuzo za Best of Zenji255, Boy Wiz ameachia wimbo mpya unaitwa “Move It”. Wimbo umetayarishwa katika studio za New Flavour na Producer More Flavour.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.