New Music: Billnas ft. Mwana FA – Mazoea

0

Msanii wa muziki wa hip hop, Billnass ameachia wimbo wake mpya ‘Mazoea’ akiwa amemshirikisha rapper Mwana FA. Wimbo umeandaliwa na producer Mr T Touchez.