New Music: B Voice – Ananipa

0

Msanii wa muziki B Voice ameachia wimbo mpya unaitwa ‘Ananipa’. Wimbo umetayarishwa katika studio za Island Records na producer Bunny Music.

Sikiliza wimbo hapo chini na utoe maoni yako.