New Music: ASP Boy ft Nyota & Rozainah – Lengo

0

Msanii wa muziki ASP Boy ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Lengo’ akiwa amemshirikisha Nyota na Rozainah. Wimbo umetayarishwa kutokea studio za Hyper Music.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako