New Music: Alpha – Utanikumbuka

0

Baada ya kukaa kimya kirefu, msanii wa muziki Alpha wa melody ameachia wimbo wake ‘Utanikumbuka’. Wimbo umetayarishwa na Producer Aloneym katika studio za Island Records.