New Music: Alpha – Nikatae

0

Kama bado hujaiona video ya wimbo huu mpya kutoka kwa Alpha wa Melody bonyeza hapa kuiangalia. Alpha anakukaribisha kuusikiliza wimbo huo unaitwa “Nikatae”. Wimbo umetayarishwa na producer Mo Fire kutokea studio za Fire Music.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.