New Music: Aley Star – Ndi Ndi Ndi

0

Baada ya kufanya vizuri wimbo wake wa “Chimba” huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Aley Star unaitwa “Ndi Ndi Ndi”. Wimbo umetayarishwa na producer Aloneym katika studio za Island Records.

Sikiliza wimbo na utoe maoni yako