‘Nashangaa watu kusema kuwa mimi ni mjamzito ni kitu ambacho kinanishangaza’ – Baby J

0

Baby J ambaye muda mwingi yupo maskani yake Zanzibar amesema kuwa ukimya wake ndiyo umesababisha watu kuhusishwa kuwa ni mjamzito

ba(2)

“Unajua kweli nimekuwa kimya lakini ni mipango naweka sawa na pia nilikuwa na mambo yangu ya kifamilia zaidi,” amesema. “Ila nashangaa watu kusema kuwa mimi ni mjamzito ni kitu ambacho kinanishangaza watu wanajua mie mjamzito wakati hata mimi mwenyewe sijui! Au kwakuwa wanaona labda nimenenepa ndio maana. Kazi zipo tayari zina subiri kutoka, kwahiyo muda wowote kazi itatoka mashabiki wake tayari tu,” ameongeza.

Hivi karibuni Mkubwa Fella alitangaza kumuongezea Baby J kwenye familia yake ya Mkubwa na Wanawe.

Chanzo: Bongo5