Najiweka sawa kwa ajili ya kutoa albamu yangu – Salu T

0

Imetayarishwa na Mkali nesta

Msanii wa hip hop kutoka Zanzibar Salu T amesema anajipanga kutoa albam pamoja na video ya wimbo wake mpya uitwao usikate tamaa.

12391836_494576374057768_954055159241973956_nAkiongea na Zenji255 Salu T amesema “Kitu kinachoendelea sasa hivi ni mipango ya kutoa albam pamoja na video ya wimbo wangu mpya uitwao ‘Usikate tamaa’ nilioshirikisha Nemo.”

Katika hatua nyingine salut amesema hamna mziki usioeleweka tatizo lipo kwa mtu anaefanya mziki “kama utafanya mziki mzuri watu wata kubali kazi yako so naomba mapresenter wapige kazi zinazo eleweka kuna ngoma nyingine zinapigwa hazina maadili.” alimalizia Salu T.