Picha: Mwenge wa Uhuru waanza Mbio zake Wilaya ya Mjini

0

Mbio za mwenge wa uhuru zimeanza rasmi katika wilaya ya Mjini Magharibi katika jimbo la Chumbuni ambapo mbunge na mwakilishi wa Jimbo hilo waliweza kutoa michango yao ya fedha kwa vikundi vya wanawake wajasiriamali.

Angalia Picha hapo chini.

1 2 3 4 5 6