Music: Unamkumbuka Spider wa Mambo Poa? Baada ya kukaa kimya kirefu, amerudi na wimbo mpya. Sikiliza hapa

0
spider

Baada ya kukaa kimya cha miaka kadhaa, msanii aliyeunda kundi la Mambo Poa Spider ameuvunja ukimya wake kwenye muziki na sasa ameachia wimbo wake mpya aliyofanya katika studio za Mandevu na imesimamiwa na producer Lummie na Buju.

Spider alitamba na wimbo wake ‘Mimi sio mwizi’ ambapo alikuwa sambamba na wanamuziki wenzake waliokuwa wanaunda kundi hilo ambao kwa sasa ni marehemu John Mjema na Steve 2K. Sikiliza hapa

http://www.audiomack.com/song/zenji255/heshina-yangu