Music: Songa ft. Jay Moe – Mwendo Tu

0

Songa ameungana na rapper mkongwe, Jay Moe kwenye banger mpya ‘Mwendo Tu’ inayomuonesha mkali huyo wa Tamaduni Muzik kwenye sound mpya kabisa. Ngoma imetayarishwa na Goncher kwenye studio za Wanene Entertainment.