Music: Buyubaya ft. Mantuzzo – Heshima Yangu

0

Msanii Buyubaya Mtabiri baada ya kimya kirefu ameachia wimbo mpya ‘Heshima Yangu’ akiwa ameshirikiana na Mantuzo. Wimbo umetengenezwa katika studio Action Music na Producer Chilly K.