Mundu FC waifunga White Bird 1-0 katika Ligi Kuu Daraja la Kwanza, Uwanja wa Amani Zanzibar

0

Ligi kuu ya Zanzibar inaendelea katika kiwanja cha Amani na ilikutanisha timu mbili za Mundu FC na White Bird FC, ambapo Mundu iliibuka na ushindi wa goli 1-0 kuwa kuwafunga White Bird.

DSC_0821 _MG_3947