Msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar 2016 – 17

0

Ligi kuu visiwani imefikia katika mzunguko wa 7 ambapo umemalizikia kimtindo baada ya timu ya JKU kuishusha nafasi ya kwanza timu ya Polisi na kuwafanya JKU kukamata usukani wa ligi hiyo huku Polisi wakiwa nafasi ya pili.

Angalia Msimamo mzima hapa.

                  

                 MSIMAMO LIGI KUU YA SOKA ZANZIBAR  (UNGUJA) 2016-2017

POS TIMU P W D L GF GA GD PTS
1 JKU 7 5 2 9 3 6 17
2 POLISI 7 4 2 1 7 4 3 14
3 CHWAKA 7 4 2 1 7 5 2 14
4 MUNDU 7 4 1 2 9 11 -2 13
5 ZIMAMOTO 7 3 3 1 11 8 3 12
6 B/ SAILOR 7 3 3 1 8 5 3 12
7 TAIFA J/MBE 7 3 1 3 5 4 1 10
8 MAFUNZO 7 3 1 3 9 9 10
9 KIJICHI 7 2 3 2 8 6 2 9
10 KILIMANI CITY 7 3 4 5 10 -5 9
11 KMKM 7 2 2 3 8 5 3 8
12 JANG’OMBE 7 1 5 1 9 7 2 8
13 KVZ 7 2 2 3 4 6 -2 8
14 MIEMBENI 7 2 1 4 6 9 -3 7
15 KIPANGA 7 2 5 6 8 -2 6
16 CHUONI 7 1 3 3 3 6 -3 6
17 MALINDI 7 1 2 4 2 5 -3 5
18 KIMBUNGA 7 1 1 5 4 9 -5 4
Jumla ya mabao 120 yamefungwa kupitia michezo 63