Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar

0

Ligi kuu ya Zanzibar bado inaendelea na Vilabu vitatu kati ya vinne vitakavyoingia hatua na nane bora kwa upande wa Unguja vimeshajulikana huku mtifuano ukibakia kwa nafasi moja. Nafasi hiyo inawaniwa na vilabu vya Mafunzo, Black Sailor na KMKM. Kama kawaida msimamo huo piga hesabu za vidole.

 

POS TIMU P W D L GF GA GD PTS
1 JKU 25 17 3 5 45 14 31 54
2 ZIMAMOTO 25 12 9 4 33 15 18 45
3 KVZ 25 13 5 7 29 21 5 44
4 MAFUNZO 25 10 10 5 25 15 10 40
5 B/ SAILOR 25 10 9 6 22 18 4 39
6 KMKM 25 10 8 7 32 25 7 38
7 JANG’OMBE 26 8 10 8 26 28 -2 34
8 KIPANGA 24 8 10 6 25 20 5 34
9 MIEMBENI 25 8 8 9 25 32 -7 32
10 KIMBUNGA 24 9 2 13 37 42 -5 26
11 CHUONI 24 6 8 10 21 28 -7 26
12 KIJICHI 25 4 10 11 18 27 -9 22
13 POLISI 26 5 8 13 21 28 -7 23
14 MTENDE 24 2 4 18 13 59 -46 10

Jumla ya mabao 372 yameshafungwa kupitia michezo 171