Mantuzo afunga ndoa kimya kimya

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea Zanzibar, Mantuzo katika siku hivi karibuni alifunga ndoa kimya kimya ambapo wasanii wenzake wengi walishangaa na walikuwa hawaamini kama msanii huyo kafunga ndoa.

mantuzo

Mantuzo atakuwa ameongeza idadi ya wasanii watatu waliofungua mwaka 2017 kwa kufunga ndoa.

Zenji255 inamtakia Mantuzo kila la heri katika maisha yao ya ndoa.