Categories
E! News

Mantuzo aelezea mahusiano yake na mtangazaji wa redio kupitia muziki wake

Kwa asilimia nyingi watu husema msanii wa muziki anapokuwa katika mahusiano na watangazaji wa redio au TV huwa inaweza kusaidia kuunyanyua muziki wa msanii kupitia mtangazaji huyo.

mantuzzo

Lakini kwa Mantuzo kwake yeye imekuwa tofauti kwani anasema kuwa inategemea na mahusiano ya watu husika yana malengo gani kwani anachokiamini kwa yeye mkipendana mnaweza mkasaidiana mambo mengine kabisa yaliyo ndani na nje ya muziki.

Akizungumza na zenji255 “Kwa mimi sikuwahi kuwa na mahusiano na mtangazaji yoyote wa redio ila hizo tetesi zipo zinaongelewa kila siku na hata kama ningekuwa nae sidhani kama ningekuwa na lengo hilo la kuusukuma muziki wangu kupitia mpenzi wangu kwa vile ni mtangazaji” Alisema Mantuzo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.