Ujumbe mfupi wa Diamond aliomwandikia Zari

0

Familia ya Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz inapitia kipindi kigumu kwa sasa baada ya kifo cha aliyekuwa Ex wa Zari, Ivan ambapo imemfanya Diamond kumfariji mpenzi wake kwa kumuandikia ujumbe mfupi.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond amemuandika Zari kama kumfariji katika kipindi kigumu cha msiba wa baba watoto wake watatu.

Diamond ameandika ‚ÄúNatamani ningekukumbatia badala ya kukutumia sms,najua upo kwenye wakati mgumu na ni mpweke, jua kwamba hauko mwenyewe, niko na wewe”