(+Video): Malkia Elizabeth afanya matembezi Uingereza kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa

0

Malkia Elizabeth ametimiza miaka tisini ya kuzaliwa.Malkia atasheherekea siku hii kwa kukutana na wananchi wake katika matembezi atayafanya huko Windsor.

Malkia Elizabeth ametawala kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Uingereza, muda unaokadiriwa kufikia zaidi ya sitini na nne.

Angalia stori nzima ya Malkia Elizabeth akiwa katika matembezi leo.