Leaked: Alfa wa Melody – I am Sorry (+Video)

0

Ikiwa bado katika matayarisho ya kumaliziwa ili mashabiki wapate kuona muziki mzuri. Lakini kwa ‘Alfa wa Melody’ imekuwa tofauti kwake baada ya video ya wimbo wake wa ‘I am Sorry’ kuvuja na ikiwa bado haijamaliziwa vizuri.

Zenji255 Imeinasa video hiyo na kukuekea na wewe uiangalie, Usisahau kuacha comment zako ili ‘Alfa wa Melody’ apate kuona maoni yako.