Kutoka Zanzibar: ulizikosa nyimbo mpya za mwezi Oktoba? Ingia hapa usikilize

0
zanzibar

Zenji255 inakuletea nyimbo mpya zote ambazo wasanii wa Zanzibar walizoziachia ndani mwezi wa Oktoba endapo utakuwa ulikosa na hujajua wapi pa kuzipata au kusikiliza.

Hizi hapa nyimbo 11 mpya kutoka kwa wasanii wa Zanzibar.