Hii hapa ni ‘top ten’ ya viwanja vya ndege duniani vyenye mitazamo ya kuvutia na kushangaza

0
ndege

Kampuni binafsi ya kimataifa ya PrivateFly ambayo inayohusika na kukodisha ndege za Jet duniani, imetoa orodha ya viwanja vya ndege kumi bora duniani kwa mwaka 2016 vyenye mvuto zaidi na vyenye kushangaza kutokana na mandhari ya viwanja hivyo vikiwa vimezungukwa na bahari, milima, misitu na mambo mingi ya kushangaza.

Angalia hapa chini:

  1. Malta Airport, Malta

malta-airport-overview

2. Nice Cote D’Azur Airport, France

france_nice_bhs_fr3. Queenstown Airport, New Zealand

new zealand

4. Barra Airport, Scotland, UK

RK-Barra-landing-plane-beach-1440x810

5. Saba Airport (Juancho E Yrausquin), Caribbean Netherlands

150512110616-saba-airport-scenic-approaches-super-169

6. Billy Bishop Toronto City Airport, Canada

150512105219-dramatic-airports-billy-bishop-super-169

7. Donegal Airport, Ireland

160420174230-donegal-airport-super-169

8. St. Maarten Airport (Princess Juliana International), Caribbean

151111123303-st-maarten-super-169

9. Los Angeles International Airport, California

160420162329-los-angeles-international-airport-super-169

10.London City Airport, UK

150512120348-london-city-airport-scenic-approaches-super-169

Kwa mwaka 2015 Uwanja wa ndege wa Queenstown Airport uliopo New Zealand ulichukua nafasi ya kwanza. Uwanja wa ndege wa Nice Cote D’Azur wa Ufaransa kwa (2014), St. Maarten in the Caribbean (2013) na Barra in Scotland’s Outer Hebrides (2012).