Categories
E! News

King Pozza ‘Kushoot’ video ya wimbo wake alioshirikiana na Sultan King ‘Nampenda’

Msanii anayeunda kundi Zee Town Sojaz maarufu wa miondoko ya Rap hapa visiwani, Joseph Mwingira a.k.a King Pozza.

poza

Hivi karibuni amesema kuwa anategemea kuachia rasmi video yake aliyoshirikiana Sultan King inayoitwa ‘Nampenda’ ambayo amefanya hapa hapa Zanzibar chini ya muongozaji ‘Mecky’ kutoka Dar es Salaam.

Akizungumza na Zenji255 King Pozza alisema kuwa “Ni project ambayo nategemea kuiachia karibuni kwahiyo nawaomba mashabiki wakae tayari kwani bonge la video”

Sikiliza wimbo huo wa King Pozza akiwa na Sultan King ‘Nampenda’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.