(+Video): Angalia mastaa walichokiandika kwenye mitandao kuhusiana na kifo cha Papa Wemba

0
papa wemba

Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia.
Papa Wemba ambaye jina lake halisi ni Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba, alianguka na kufa jukwaani akiwatumbuiza maelfu kwa maelfu ya mashabiki wake waliojitokeza katika tamasha la muziki mjini Abidjan Ivory Coast.
Gwiji huyo wa muziki wa lingala alizaliwa mnamo Juni 14 mwaka 1949, katika eneo la Lubefu – Wilaya ya Sankuru nchini Congo.

Hawa baadhi ya mastaa walioguswa na kifo cha nguli huyo na kuandika katika kurasa za mitandao yao ya jamii.

 

 

Angalia jinsi alivyodondoka akiwa stejini

Angalia moja ya nyimbo za Papa Wemba zilizompatia umaarufu

 

Chanzo BBC