Issa Chiwile Jr afunga ndoa kimya kimya

0

Mtangazaji na mwanaharakati wa vipindi vya burudani visiwani Zanzibar, Issa Chiwile Jr. amefunga ndoa na mpenzi wake Shanice kimya kimya.

chiwile

Hivi karibuni picha iliyosambaa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha wawili hao wamevalia mavazi ambayo kwa haraka haraka utasema ni ya harusi.

Zenji255 inamtakia kila la kheri bwana na bi Chiwile Jr. katika maisha yao ndoa.