Ison Mwanaharakati kuachia ‘Kama Ngosha’ siku ya birthday yake

0

Rapper kutoka visiwani Zanzibar, Ison Mwanaharakati anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Kama Ngosha’ Septemba 4 ambayo ni siku yake ya kuzaliwa.

Ison MwanaharakatiIson akizungumza na Zenji255 kuhusiana na wimbo huo alisema kuwa KAMA NGOSHA ni ujio mpya ambao ni ‘suprise’ kwa mashabiki zake na unazungumzia vitu vingi kwenye wimbo huo.

“Lakini kuhusiana na jina KAMA NGOSHA, ndani yake wewe msikilizaji ndie utakaetoa majibu kwanini nimeipatia jina hilo. Wimbo huo nimetengeneza katika studio zaidi ya tatu na maproducer tofauti”

Imetayarishwa: Mkali Nesta