Ison Mistari kuachia wimbo mpya’Nani Nilimkosea’ Novemba 1

0

Rapa Ison Mistari anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Nani Nilimkosea.’ Mwezi ujao tarehe 1 Novemba.

ison

Huo unakuwa wimbo wake wa kwanza tangu asaini mkataba na lebo ya Stone Town Records. Ison kwa  sasa anafanya vizuri na wimbo wa ‘Kama Ngosha’.

Tunasubiri ujio mpya wa Ison akiwa na lebo mpya.