Video Teaser: Mjue msanii atakaekuwa pamoja na Sultan King katika ‘Shikilia Tour’

0
kwetu

Msanii Marioo Classic anajiandaa kuja kusaidia katika onyesho la Sultan King ‘Shikilia Tour’. Ikiwa imebakia siku moja yaani tarehe 7 Mei, Sultan atafanya onyesho lake katika ukumbi wa Mess Club ‘Intebe’.

Angalia video fupi ya Marioo akielezea kuhusu ujio wake.