Huu hapa ni msimamo wa ligi kuu ya Zanzibar

0

Ligi kuu ya Zanzibar inaendelea na hii leo Mei 24 timu ya Chuoni FC itakuwa uwanjani na Kimbunga FC. mechi hiyo itachezwa katika uwanja wa Amani, Zanzibar saa 8 mchana. na muda wa saa 10 jioni katika uwanja huo huo, timu KMKM itakutana na wanaoongoza katika ligi hiyo, timu ya JKU.

Huu hapa ni msimamo wa ligi hiyo.

POS TIMU P W D L GF GA GD PTS
1 JKU 22 16 3 3 42 11 31 51
2 MAFUNZO 23 10 10 3 24 12 12 40
3 KVZ 22 11 4 7 24 18 6 37
4 ZIMAMOTO 21 9 9 3 25 11 14 36
5 B/ SAILOR 23 9 8 6 20 17 3 35
6 KMKM 22 9 7 6 31 23 8 34
7 MIEMBENI 23 8 8 7 24 27 -3 32
8 KIPANGA 22 7 9 6 19 18 1 30
9 JANG’OMBE 23 7 8 8 23 27 -4 29
10 KIMBUNGA 21 8 2 11 31 35 -4 26
11 CHUONI 21 6 6 9 17 23 -6 24
12 KIJICHI 23 3 10 10 15 24 -9 19
13 POLISI 23 2 8 13 14 27 -13 14
14 MTENDE 21 2 4 15 12 48 -36 10
Jumla yabao 321 yameshafungwa kupitia michezo 150