Picha: Hili ndilo jina jipya baada Kinde Makengele kufunga ndoa

1

Mpiga gita na Muimbaji wa muziki wa kizazi kipya, Kinde Makengele jana Ijumaa (Jan. 27) alifunga ndoa na mwanamuziki mwenzake Faiza maarufu kama Faay Baby.

kinde makengele

Katika ndoa hiyo ambayo iliyohudhuriwa na wanamuziki na baadhi ya viongozi wa chama cha wasanii wa kizazi kipya Zanzibar. Kwa sasa Kinde anafahamika kwa jina la ‘Abdul’ baada ya kuingia katika dini ya kiislam wakati akifunga ndoa hiyo.

Zenji255 inawatakia kila la heri ndugu zetu hawa wawili katika maisha yao ya ndoa.