Hiki hapa ni kikosi cha Zanzibar Heroes kitakachoingia katika michuano ya CECAFA

0

Imetayarishwa: Prince Almecky

Kocha wa timu ya taifa ya Zanzibar Heroes, Ahmed Morocco ametangaza kikosi chake ambacho kitakachochuana katika michuano ya kombe la chalenji ambalo linatarajiwa kuanza rasmi Novemba 25 hadi Disemba 9.

zanzibar heroes

Akizungumza na waandishi Kocha Ahmed amesema kuwa orodha hiyo ni ya awamu ya kwanza ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda watapunguza na kupata idadi kamili inayotakiwa, ambapo baadhi ya wachezaji ambao wanacheza katika ligi kuu Bara hawakuwemo.

Hii hapa ni orodha ya wachezaji waliotajwa katika kikosi hicho.

WALINDA MLANGO
Ahmed Ali “Salula” (Taifa ya Jang’ombe)
Nassor Mrisho (Okapi)
Mohammed Abdulrahman “Wawesha” (JKU)

WALINZI
Abdallah Haji “Ninja” (Yanga)
Mohd Othman Mmanga (Polisi)
Ibrahimm Mohammed “Sangula” (Jang’ombe Boys)
Adeyum Saleh “Machupa” (Kagera Sugar)
Haji Mwinyi Ngwali (Yanga)
Abubakar Ame “Luiz” (Mlandege)
Issa Haidar “Mwalala” (JKU)
Abdulla Kheir “Sebo” (Azam)
Ibrahim Abdallah (Taifa ya Jang’ombe)

VIUNGO
Abdul-swamad Kassim (Miembeni City)
Abdul Aziz Makame (Taifa ya Jang’ombe)
Mudathir Yahya (Singida United)
Omar Juma “Zimbwe” (Chipukizi)
Mohd Issa “Banka” (Mtibwa Sugar)
Amour Suleiman “Pwina” (JKU)
Mbarouk Marshed (Super Falcon)
Ali Yahya (Academy Spain)
Hamad Mshamata (Chuoni)
Suleiman Kassim “Seleembe” (Majimaji)

WASHAMBULIAJI
Kassim Suleiman (Prisons)
Matteo Anton (Yanga)
Ali Badru (Taifa ya Jang’ombe)
Feisal Salum (JKU)
Salum Songoro (KVZ)
Khamis Mussa “Rais” (Jang’ombe boys)
Mwalimu Mohd (Jamhuri)
Ibrahim Hamad Hilika (Zimamoto)