Haya hapa ni matokeo ya Kidato cha Pili

0

Baada ya siku kadhaa Baraza la mitihani NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne (FORM IV) nayo Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar leo imetoa rasmi matokeo ya kidato cha pili kwa wanafunzi waliofanikiwa kujiungana kidato cha tatu katika skuli zote za Unguja na Pemba kwa mwaka 2016.

Bofya hapa chini kupata matokeo:

MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2016 KIWILAYA

MJINI MAGHARIBI “A” MAGHARIBI “B” KUSINI UNGUJA
KATI KASKAZINI “A” KASKAZINI “B” MKOANI
CHAKE CHAKE WETE MICHEWENI SKULI ZA MICHEPUO
SKULI ZA BINAFSI