Kamera mnaso: Harakati katika mitaa ya Zanzibar

0
kamera

Tembea tembea zangu Ijumaa ya leo katika mitaa mbali mbali ya Zanzibar na kuweza kuona pirika nyingi watu wanazifanya na Zenji255 ikaona na wewe uione na uijue baadhi ya mitaa ya Zanzibar

dafuBIASHARA ya madafu imekuwa maarufu visiwani, ingawa aina ya minazi inayoangushwa madafu sio ile maalumu jambo ambalo limetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei ya nazi ingawa pia sababu nyengine ni kukatwa, pichani mzee wa Mkanyageni akiwahudumia wateja wake.

jumba la trainJumba la treni katika mitaa ya Darajani

darajaniSoko la Maduka ya Jumla Darajani